iqna

IQNA

umrah 1445
Umrah 1445
Siku ya Jumapili, idadi kubwa ya waumini waliondoka Tehran kuelekea mji mtakatifu wa Madina ikiwa ni hatua ya kurejeshwa ushiriki wa Wairani katika ibada ya Umrah baada ya kusitishwa kwa miaka tisa kutokana na sababu mbali mbali. Kulingana na mipango, zaidi ya Wairani 5,000 watashiriki katika ibada ya Umrah katika mwezi wa Hijri wa Shawwal.
Habari ID: 3478719    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22

Umrah 1445
IQNA - Afisa wa Hijja wa Iran amelitaka kundi la kwanza la Wairani walioelekea Saudia kwa ajili ya Hija ndogo ya Umra kuwakumbuka Wapalestina hasa wa Gaza katika dua wakiwa aktika ardhi takatifu.
Habari ID: 3478718    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22

Hija na Umrah
IQNA – Serikali ya Saudi Arabia imefafanua masharti ya viza ya Umra, ikibainisha kuwa wote wanaoshiriki katika ibada ya Hija ndogo ya Umra wanapaswa kuondoka nchini humo huo kufikia Juni 6.
Habari ID: 3478705    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/20

Umrah
IQNA – Waislamu wanaotekeleza Hija ndogo Umrah ndio pekee wataruhusiwa kufanya Tawaf (kuzunguka Kaaba Tukufu) katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al-Haram, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478465    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07

Umrah
IQNA - Idadi ya Waislamu walioshiriki katika Hija ndogo ya Umrah mwaka 2023 ilifikia zaidi ya milioni 13.5, rekodi ya juu kwa wageni wa kimataifa walioshiriki ibada ya Umrah, waziri wa Hija na Umrah wa Saudia alisema Jumanne.
Habari ID: 3478173    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/09

Umrah 1445
IQNA - Wairani wataanza kuelekea Saudi Arabia kwa ajili ya Umrah (Hija ndogo) katika kipindi cha wiki mbili zijazo.
Habari ID: 3478055    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/19

Umrah 1445
MEDINA (IQNA) - Msikiti wa Mtume (SAW), Al Masjid An Nabawi, eneo la pili kwa utakatifu katika Uislamu, ulishuhudia wimbi kubwa la waumini wiki iliyopita, shirika la serikali liliripoti.
Habari ID: 3477902    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/17

Umrah 1445
MAKKA (IQNA)- MECCA (IQNA) – Makampuni yanayotoa huduma wa waumini wanaoshiriki katika ibad ya Umra wanapaswa kutekeleza majukumu kadhaa.
Habari ID: 3477508    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/28

Umra 1445
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wanaokwenda Saudi Arabia kwa ajili ya Umra au Hija ndogo wameonywa dhidi ya kutumia mawakala wasio na leseni.
Habari ID: 3477457    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18

Umrah 1445
MAKKA (IQNA) – Wizara ya Hijja na Umrah ya Saudia imeeleza machaguo mbalimbali wka Waislamu wanaotaka kusafiri hadi mji mtakatifu wa Makka kufanya ibada ya Hija ndogo ya Umrah. Wizara iliorodhesha machaguo kama kama vile visa ya kukaa kwa muda mfupi (transit), visa ya kutembelea familia, visa ya safari ya kibinafsi na visa wakati wa kuwasili.
Habari ID: 3477313    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/20

Umra 1445
MAKKA (IQNA) - Waislamu milioni 10 kutoka nje ya Saudi Arabia wanatarajiwa kushiriki katika Hija ndogo ijulikanayo kama Umrah, makadirio yanaonyesha.
Habari ID: 3477256    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/09